Skip to main content

Posts

Showing posts from February 9, 2015

EXCLUSIVE OFFICIAL VIDEO| MASAUTI-USIKATE TAMAA| Watch it here....

Baada ya kimya cha mda mrefu msanii mwenye sauti ya mnato amevunja kimya chake ambapo aliweza kutoekaakiwa ameachia wimbo wake uliyotamba sana katika media za hapa ncini Kenya na Afrika Mashariki ulio julikanakama SIWEZI, msanii huyo amewezakuachia ujio wake mwengine ambao unajulikana kama USIKATE TAMAA . Wimbo huo umetengenezwa katika studio za LIWAZO RECORDS na producer wake anayejulikana kama IAN MICHAPO kumbuka producer huyo pia anaulemavu wa kuona ( Kipofu ). Hii ni video yake inayofunguamwaka USIKATE TAMAA pata kuitizama hapa..