Skip to main content

Posts

Showing posts from September 10, 2014

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI BAHATI KUTENGENEZA COLAABO AKIWA NA DIAMOND PLATNUMZ...soma hapa zaidi

Msanii wa nyimbo za kumsifu na kumutuza mwenyezi Mungu anayejulikana kama KEVIN BAHATI alamaarufu kama BAHATI huenda hivi karibuni akaachilia nyimbo yake akiwa ameshirikiana na star wa Bongo NASSIB ABDUL ukipenda DIAMOND PLATNUMZ . Ikiwa huenda Colabo hio itakuwa imeunganishwa na mtangazaji anayekubalika sana katika radio station kutoka hapa Kenya anayetambulika kama MZAZI WILLY TUVA ,tukikumbuka pia mwaka jana Tuva aliweza kumleta msanii Diamond kutoka Tz na kumfikisha mpaka kwa Willy Paul na kuhaidi kuwa watafanya Colabo na msanii huyo wa nyimbo za injili lakini hadi wa leo mashabiki wa Willy Paul na Diamond Platnumz wamekuwa wakisubiria colabo hio lakini hadi sasa wameambulia kungoja. Inasemekana kuwa Willy alishindwa kumiliki kiwango cha hela alizozihitaji bwana Diamond ili kuimba pamoja je hii nyengine ya Bahati itafanikishwa? Kupitia ukurasa wake wa facebook Tuva aliandika ivi " #Mseto411 : MZAZI WILLY M TUVA INTRODUCES BAHATI { @Bahatikenya } TO EAST AFRICA'