Skip to main content

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI BAHATI KUTENGENEZA COLAABO AKIWA NA DIAMOND PLATNUMZ...soma hapa zaidi

Msanii wa nyimbo za kumsifu na kumutuza mwenyezi Mungu anayejulikana kama KEVIN BAHATI alamaarufu kama BAHATI huenda hivi karibuni akaachilia nyimbo yake akiwa ameshirikiana na star wa Bongo NASSIB ABDUL ukipenda DIAMOND PLATNUMZ.
Ikiwa huenda Colabo hio itakuwa imeunganishwa na mtangazaji anayekubalika sana katika radio station kutoka hapa Kenya anayetambulika kama MZAZI WILLY TUVA,tukikumbuka pia mwaka jana Tuva aliweza kumleta msanii Diamond kutoka Tz na kumfikisha mpaka kwa Willy Paul na kuhaidi kuwa watafanya Colabo na msanii huyo wa nyimbo za injili lakini hadi wa leo mashabiki wa Willy Paul na Diamond Platnumz wamekuwa wakisubiria colabo hio lakini hadi sasa wameambulia kungoja.
Inasemekana kuwa Willy alishindwa kumiliki kiwango cha hela alizozihitaji bwana Diamond ili kuimba pamoja je hii nyengine ya Bahati itafanikishwa?

Kupitia ukurasa wake wa facebook Tuva aliandika ivi "#Mseto411: MZAZI WILLY M TUVA INTRODUCES BAHATI { @Bahatikenya } TO EAST AFRICA'S FINEST DIAMOND PLATNUMZ { @diamondplatnumz } >>>> Last Night Somewhere in Nairobi Popular TV/Radio Presenter @mzaziwillytuva introduced one of the Fastest Rising Stars in Kenya BAHATI { @bahatikenya } to one of East Africa's Finest Stars DIAMOND PLATNUMZ. Diamond and His Manager BABU TALE who are currently in the country courtesy of #CokeStudioAfrica were very impressed by Bahati's Songs Mostly 'Barua'. "Huyu akiwa Marketed vizuri nje ya Kenya kwanza huu wimbo wake Barua,ata hit sana maana kiukweli anaweza" DIAMOND added. Bahati who is currently riding high with his New Song #Visanga felt very Motivated and appreciated. BAHATI has what it takes to Break into East Africa and Africa Market as a whole, Let's all Support @bahatikenya'' Mzazi aliandika hayo.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.