Skip to main content

Posts

Showing posts from February 3, 2017

EXCLUSIVE YA TGM|||| JE CHIKUZEE NA C-NEW WAMEUNDA KUNDI LAO NA KULIPA JINA LA TAM TAM FLAVAS?? Soma hapa zaidi

Katika siku za hivi karibuni wasanii hawa wawili wameonekana wakiwa pamoja kila mahali tangu waachie track yao ya UMENUNA BURE. Katika maojiano y moja kwa moja wawili hao waliweza kunidokezea kwamba wao ni rafiki wakaribu sana na hivyo basi ndio maana kila maana unapomuona CHIKUZEE yuko mbele basi C-NEW atakua yupo nyuma na wao sio rafiki tu bali pia ni wanabiashara ndio maana kila maana wako pamoja na ata hii ngoma ya pili wamefanya sio ati ni kundi ila wanapenda kufanya kazi pamoja na ndio maana wakamshirikisha hadi B.I ili flava izidi,"kuna nyimbo yetu yapili mimi na mwenzangu CHIKUZEE tumefanya chini na prodyuza B.I na pia ameeka sautu nyimbo inaitwa DUNIA NZIMA imetoka na kwasasa iko Youtube unaeza kuitizama sio ati mimi na Chiku ni kundi la hasha sisi ni marafiki tu na tunapenda kufanya kazi pamoja" C-New alidokeza hayo Pata kuitizama nyimbo yao inayokwenda kwajina DUNIA NZIMA video hio imeongozwa na director kutoka humu nchini anakwenda kwajina la LIL GUY G