Skip to main content

Posts

Showing posts from October 11, 2016

EXCLUSIVE STORY||| HUU NDIO UJUMBE SUSUMILA ALIOUPITISHA KWA MR.POLITICIAN JE INAWEZEKANA IKAWA NI GAVANA WA MOMBASA HASSAN JOHO? Soma hapa.

ikendi iliyopita ndani ya jiji la Mombasa kulifanyika show kubwa sana ya mwaka ambayo haijawahi kutokea,show hio ilikua inaongozwa na superstar CHRISS BROWN kutoka uingereza. Tamasha hilo ambalo lilikwenda kwajina MOMBASAROCKS tetesi zinasema kwamba liliweza kuandaliwa na Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ambapo bado muheshimiwa hajaweza kujitoa kimasmaso na kusema ni yeye aliyemleta ALI KIBA,VANESSA MDEE,WIZKID na kuwaharib watu kabisa na CHRISS BROWN ,chakushangaza ama chakustaajabisha hakuna ata chunusi ya msanii kutoka Mombasa aliweza kugusa juukwaa hilo la Bwana Chriss Brown pamoja na wenzake kutoka nchi jirani ya Tanzania wacha tu kupanda jukwaani ia ata kuitazama show hio. THEGREATMULLEYMEDIA iliweza kuingia katika hoteli walizokuwa wameekwa mastaa hao ambapo walikuwa waliwekwa katika hoteli ya kifahari ya ENGLISHPOINT MARINA tuliweza kukutana na wasanii mbali mbali ambao wengine hata hawakuonekana katika jukwaa hili akiwemo ht maker wa SHOULDER BACK hapa tunamz