Skip to main content

EXCLUSIVE STORY||| HUU NDIO UJUMBE SUSUMILA ALIOUPITISHA KWA MR.POLITICIAN JE INAWEZEKANA IKAWA NI GAVANA WA MOMBASA HASSAN JOHO? Soma hapa.

ikendi iliyopita ndani ya jiji la Mombasa kulifanyika show kubwa sana ya mwaka ambayo haijawahi kutokea,show hio ilikua inaongozwa na superstar CHRISS BROWN kutoka uingereza.

Tamasha hilo ambalo lilikwenda kwajina MOMBASAROCKS tetesi zinasema kwamba liliweza kuandaliwa na Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ambapo bado muheshimiwa hajaweza kujitoa kimasmaso na kusema ni yeye aliyemleta ALI KIBA,VANESSA MDEE,WIZKID na kuwaharib watu kabisa na CHRISS BROWN,chakushangaza ama chakustaajabisha hakuna ata chunusi ya msanii kutoka Mombasa aliweza kugusa juukwaa hilo la Bwana Chriss Brown pamoja na wenzake kutoka nchi jirani ya Tanzania wacha tu kupanda jukwaani ia ata kuitazama show hio.

THEGREATMULLEYMEDIA iliweza kuingia katika hoteli walizokuwa wameekwa mastaa hao ambapo walikuwa waliwekwa katika hoteli ya kifahari ya ENGLISHPOINT MARINA tuliweza kukutana na wasanii mbali mbali ambao wengine hata hawakuonekana katika jukwaa hili akiwemo ht maker wa SHOULDER BACK hapa tunamzungumzia REDSAN kutoka hapa Kenya akiwa na wenzake swali ni je aliweza kuja pamoa na Ali Kiba chini ya Rockstar400 ama aliweza kulipiwa hoteli kuja kuitazama show ya CHRISS?.

Hakuna ata msanii mmoja kutoka Mombasa ambaye ameiongelea swala hilo ila THEGREATMULLEYMEDIA inahisi kwamba Superstar kutoka Mombasa uvumilivu umemshinda na maneno yamenyonga na kuongea na Mr.Politician,kupitia ukurasa wake facebok aliweza kuyasema haya tukimnukuu "U can fool some people sometimes but u cant fool all the people all the time@Mr Politician we are watching u#NgomaImezima" Alisema hayo ambapo anamaanishi hivi "Unaweza kuwapumbaza watu muda mwengine ila huwezi pumbaza watu wote muda wote ule @Mr.Politician" je hii caption itakua inamuendea Joho? Swali letu hilo


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..