Skip to main content

Posts

Showing posts from March 5, 2015

RICH MAVOKO AJIUNGA NA KAKA EMPIRE INAYOONGOZWA NA MSANII RABBIT..soma hapa zaidi

Msanii kutoka nchini Tanzania anayejulikana kama RICH MAVOKO amejiunga rasmi na KAKA EMPIRE ilioko humu nchini. Kupitia ukurasa wa anayesimamia KAKA EMPIRE tunayemjua kama KAKA SUNGURA ( RABBIT ) kupitia ukurasa wake wa faebook mapema leo hii aliweza kudhibitisha rasmi kuwa wamemsajili hit maker huyo wa ROHO YANGU ,Rabbit aliweza kuandika haya "Help us welcome Tanzania's Rich Mavoko to Kaka Empire. He has joined one of the biggest and fastest growing artiste management stable in Kenya. Kaka Empire will be managing Rich Mavoko's affairs in Kenya. Mavoko joins Rabbit, Avril, Femione, Owago and Raj at Kaka Empire. Karibu Rich Mavoko."  Aliweza kuandika hayo. Kumbuka ni wiki mbili tu zilizopita ambapo wawili hao waliweza kuachia mzigo wao mpya unaojulikana kama "NJOO" pamoja na video yao.