Skip to main content

RICH MAVOKO AJIUNGA NA KAKA EMPIRE INAYOONGOZWA NA MSANII RABBIT..soma hapa zaidi


Msanii kutoka nchini Tanzania anayejulikana kama RICH MAVOKO amejiunga rasmi na KAKA EMPIRE ilioko humu nchini.

Kupitia ukurasa wa anayesimamia KAKA EMPIRE tunayemjua kama KAKA SUNGURA (RABBIT) kupitia ukurasa wake wa faebook mapema leo hii aliweza kudhibitisha rasmi kuwa wamemsajili hit maker huyo wa ROHO YANGU,Rabbit aliweza kuandika haya



"Help us welcome Tanzania's Rich Mavoko to Kaka Empire.
He has joined one of the biggest and fastest growing artiste management stable in Kenya. Kaka Empire will be managing Rich Mavoko's affairs in Kenya. Mavoko joins Rabbit, Avril, Femione, Owago and Raj at Kaka Empire. Karibu Rich Mavoko." 
Aliweza kuandika hayo.

Kumbuka ni wiki mbili tu zilizopita ambapo wawili hao waliweza kuachia mzigo wao mpya unaojulikana kama "NJOO" pamoja na video yao.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..