Skip to main content

Posts

Showing posts from September 25, 2014

EXCLUSIVE:DOWLOAD WIMBO MPYA WA SHINEY AKIWA AMEMSHIRIKISHA DAZLAH KIDUCHE UNAOJULIKANA KAMA "ILINGI" Download apa

Shiney ni msanii wakike ambaye yuko chini ya studio ya produza BAINDO yaani BIGFOOT PRODUCTION ambapo alikuletea nyimbo kama KILIO na nyenginezo. Kwa mara hii msanii huyo wa kike kutoka hapa mkoani amekuja tena na ngoma ambayo inaendelea kugusa nyoyo za wengi inayojulikana kama " ILINGI "  ambapo amemshirikisha hit maker wa BANGEREBA anayejulikana kama DAZLAH KIDUCHE . Pata kuskiza nakudownload wimbo huo hapa chini...

EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE: PICHA ZA VIDEO MPYA "HIDAYA" YA SUSUMILA AKIWA NA CHIKUZEE..pata kuzitizama hapa

Baada ya kuachia nyimbo yao na video NGOMA ITAMBAE iliyofanya vizuri na inayoendelea kufanya vizuri hapa Afrika Masharika wasnii hao CHIKUZEE na SUSUMILA wamerudi tena na kutoa nyimbo yao nyengine inayopata airplay vizuri hapa Kenya na na Afrika Masharika,sasa wameamua kuandaa video ya nyimbo hio ambapo waniafanya na Direcoto anayejulikana kama RICKY BECKKO'S EXPRESIO. Baadhi ya picha za nyuma ya pazia tulizoweza kuzipata ni hizi hapa chini zitazame.   Unaweza kudownload HIDAYA hapa..