EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE: PICHA ZA VIDEO MPYA "HIDAYA" YA SUSUMILA AKIWA NA CHIKUZEE..pata kuzitizama hapa
Baada ya kuachia nyimbo yao na video NGOMA ITAMBAE iliyofanya vizuri na inayoendelea kufanya vizuri hapa Afrika Masharika wasnii hao CHIKUZEE na SUSUMILA wamerudi tena na kutoa nyimbo yao nyengine inayopata airplay vizuri hapa Kenya na na Afrika Masharika,sasa wameamua kuandaa video ya nyimbo hio ambapo waniafanya na Direcoto anayejulikana kama RICKY BECKKO'S EXPRESIO.
Baadhi ya picha za nyuma ya pazia tulizoweza kuzipata ni hizi hapa chini zitazame.
Unaweza kudownload HIDAYA hapa..
Comments
Post a Comment