Skip to main content

Posts

Showing posts from August 23, 2016

EXCLUSIVELY NEW||||NYOTA NDOGO AELEZEA MAISHA YAKE YALIVYOKUA WAKATIKA ANAFANYAKAZI YA NYUMBA KUPITIA VIDEO YAKE YA SUBIRA

Baada ya kungojea sana msanii anayetamba kwa sauti tamu yakumtoa nyoka pangoni na kumuua NYOTA NDOGO ameachia kichupa chake cha SUBIRA SUBIRA YANGU ni moja ya nyimbo yake iliobeba ujumbe mzito pamoja na Hisia kali za maisha anayopitia mwananchi wakawaida. Kupitia mdokezi wetu wa EXCLUSIVE alisema kwamba nyota alimdokezea kwamba nyimbo hii ya SUBIRA YANGU aliiandika kupitia yale anayopitia kwani watu wamekuwa wakimsema sana kupitia vile anayvyoisha kwamba yeye ni SUPER STAR lakini anaishi maisha ya ki andaki yaani maisha ya chini zaidi. Video imeweza kuketiwa chini na mkali wao LIL GUY G chini ya LIL GUY G MEDIA na audio imewza kuketiwa chini na producer mahiri wa TEMPOZ RECORDS apa namuongelea AMZ WA LEO . Pata kuitazama video hio hapa na kuidownload Hapa. DOWNLOAD HAPA