Skip to main content

EXCLUSIVELY NEW||||NYOTA NDOGO AELEZEA MAISHA YAKE YALIVYOKUA WAKATIKA ANAFANYAKAZI YA NYUMBA KUPITIA VIDEO YAKE YA SUBIRA

Baada ya kungojea sana msanii anayetamba kwa sauti tamu yakumtoa nyoka pangoni na kumuua NYOTA NDOGO ameachia kichupa chake cha SUBIRA
SUBIRA YANGU ni moja ya nyimbo yake iliobeba ujumbe mzito pamoja na Hisia kali za maisha anayopitia mwananchi wakawaida.
Kupitia mdokezi wetu wa EXCLUSIVE alisema kwamba nyota alimdokezea kwamba nyimbo hii ya SUBIRA YANGU aliiandika kupitia yale anayopitia kwani watu wamekuwa wakimsema sana kupitia vile anayvyoisha kwamba yeye ni SUPER STAR lakini anaishi maisha ya ki andaki yaani maisha ya chini zaidi.
Video imeweza kuketiwa chini na mkali wao LIL GUY G chini ya LIL GUY G MEDIA na audio imewza kuketiwa chini na producer mahiri wa TEMPOZ RECORDS apa namuongelea AMZ WA LEO.

Pata kuitazama video hio hapa na kuidownload Hapa.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..