Skip to main content

Posts

Showing posts from August 20, 2015

OFFICIAL VIDEO|SAUTI SOL-SHAKE YO BAM BAM|...Watch it here....

After the song NEREA this is the new video SHAKE YO BAM BAM by SAUTI SOL. Watch it here...

RICHIE REE NA CHIKUZEE WAMDISS FAT-S KATIKA NGOMA YAO MPYA MZIKI KWA KAZI YAKE YA KUUZA CD FERRY....Soma zaidi hapa

Kumekua na ugomvia katika mziki wa Mombasa kwa majuma kadhaa ikiwa malumbano yalikuwa baina ya wasanii wawili walio fanya kolabo mbili HIDAYA na NGOMA ITAMBAE zilizofanya vizuri hapa nchini apa namuongelea CHIKUZEE na SUSUMILA. Lakini hapo jana pamezuka stori nyengine tofauti ambapo msanii CHIKUZEE aliamua kumchana FAT-S katika nyimbo hio swali ni je bado bifu yao inaenedelea maana ni muda sasa tangu bifu yao kusahaulika,Katika nyimbo hio ilioachiwa hapo jana ya RICHY REE akimshirikisha CHIKUZEE unaojulikana kama MZIKI kuna mstari ndani ya wimbo huo tukimnukuu CHIKUZEE katika nyimbo hio " WENGINE TUNAWAONA WAKIUZA CD's BARABARAN I". Ikiwa ni sote tunajua kwamba ni msanii FAT-S ndiye anayezungusha kopi zake za CD barabarani na ukitaka kumpata sana sana anapoziuzia Cd zake nikatika kivukio cha FERRY,je ni kwamba wasanii hao wamemchoka FAT-S kwa kazi yake ya kuuzi Cd zake katika kivukio hicho cha FERRY?. Kuiskiza na kui-Download ngoma hio ipate hapo c