Skip to main content

Posts

Showing posts from October 11, 2014

EXCLUSIVE: NEW VIDEO BY KHALIGRAPH "EMBESHA" WATCH IT HERE....

Khaligraph hip Hop artist from Nairobi/Kenya this is his new video which was directed by Johnson Kyalo. Watch it here...

NDEGE (BIRD) AGEUKA MWANAMKE KATIKA KIJIJI CHA OSHINDI NCHINI NIGERIA BAADA YA NGUVU ZAKE KUISHA.....Soma hapa..

Mapema hii leo katika kijiji kimoja kinachotambulika kama OSHINDI nchini Nigeria wanachi walishuhudia sinema ambapo kamera zao zilikuwa macho yao na simu zao pale ndege aliyekuwa anapaa angani ghafla alianguka chini baada ya kudandia nyaya za stima na kugeuka mwanamke. Kitendo hicho kimewacha wanachi vyinywa wazi wasijue la kufanya huku wakibaki kupiga picha wakitumia simu zao za mikononi,Mwanamke huyo alionekana kushambuka na kuwa na vidonda katika mwili wake hali iliyo kuwa inahuzunisha naye alibaki kinywa bubu huku akikosa la kusema, Wananchi hao walimsisitiza na maswali wakitaka kujua kumekuaje hadi akageuka binadamu wakatika yeye alikuwa ndege anapaa juu mama huyo aliwajibu kuwa alikuwa anaenda kumtazama binti yake aliye kluwa amejifungua mda mchache. Habari zinasema kuwa mwanamke huyo alikuwa mcha na binti yake alikuwa anafanya sala pale yule mama alikuwa anapaa ndipo akageuka binadamu na mwanamke huyo anadaiwa kuwa mchawi,Inasemekana binti yake alikuwa anajifungua na m