Skip to main content

NDEGE (BIRD) AGEUKA MWANAMKE KATIKA KIJIJI CHA OSHINDI NCHINI NIGERIA BAADA YA NGUVU ZAKE KUISHA.....Soma hapa..



Mapema hii leo katika kijiji kimoja kinachotambulika kama OSHINDI nchini Nigeria wanachi walishuhudia sinema ambapo kamera zao zilikuwa macho yao na simu zao pale ndege aliyekuwa anapaa angani ghafla alianguka chini baada ya kudandia nyaya za stima na kugeuka mwanamke.

Kitendo hicho kimewacha wanachi vyinywa wazi wasijue la kufanya huku wakibaki kupiga picha wakitumia simu zao za mikononi,Mwanamke huyo alionekana kushambuka na kuwa na vidonda katika mwili wake hali iliyo kuwa inahuzunisha naye alibaki kinywa bubu huku akikosa la kusema,

Wananchi hao walimsisitiza na maswali wakitaka kujua kumekuaje hadi akageuka binadamu wakatika yeye alikuwa ndege anapaa juu mama huyo aliwajibu kuwa alikuwa anaenda kumtazama binti yake aliye kluwa amejifungua mda mchache.

Habari zinasema kuwa mwanamke huyo alikuwa mcha na binti yake alikuwa anafanya sala pale yule mama alikuwa anapaa ndipo akageuka binadamu na mwanamke huyo anadaiwa kuwa mchawi,Inasemekana binti yake alikuwa anajifungua na mtoto anakufariki papo hapo.

Hizi ndio baadhi ya picha za tukio hilo..








Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..