PICHA,KIM KARDASHIAN KWENYE POZI ZA UTUPU KATIKA JARIDA LA GQ AMBAPO AMETAJWA KAMA (FEMALE OF THE YEAR)...Tazama hapa September 04, 2014 Jarida la GQ Limetoa picha za super model Kim Kardashian zitakazo wekwa kwenye toleo jipya ambalo Kim ametajwa kuwa mwanamke wa mwaka. Kim ambaye ni mke wa rapper Kanye West amepozi bila nguo huku akificha baadhi ya sehemu kwenye mwili wake. Read more