Skip to main content

Posts

Showing posts from December 24, 2014

EXCLUSIVE VIDEO | BRACKETS FT DIAMOND AND TIWA SAVAGE-ALIVE | Watch it here....

Baada ya kimya kirefu wanamziki kutoka Nigeria wamevunja ukimya wao na kutoa video mpya inayjulikana kama ALIVE. ALIVE ni nyimbo ilio na ukweli ndani yake ambapo inasemkana mmoja wa wanamziki hao BRACKETS alikua anaugua ugonjwa wa Canncer na hio ndio inasemekana kuwa sabau kubwa kwa kunyamaza ama kwenda chini kimziki lakini mara hii wamerudi ambapo wimbo huo BRACKETS  wamewashirikisha wasanii kama DIAMOND PLATNUMZ kutoka AFRIKA MASHARIKI pamoja na TIWA SAVAGE. Wimbo huo ni shukurani kwa Mungu kwa kuwa mmoja wa wanamziki hao aliyekuwa anaugua ugonjwa huo hatari wa Cancer amerudi ki mziki na ni mzima kabisa hivo basi ni wimbo wa kutoa shukurani kwa Maulana. Pata kutazama video hi yao iliyotengenezwa na GODFATHER kutoka Afrika Kusini.