Skip to main content

EXCLUSIVE VIDEO | BRACKETS FT DIAMOND AND TIWA SAVAGE-ALIVE | Watch it here....



Baada ya kimya kirefu wanamziki kutoka Nigeria wamevunja ukimya wao na kutoa video mpya inayjulikana kama ALIVE.

ALIVE ni nyimbo ilio na ukweli ndani yake ambapo inasemkana mmoja wa wanamziki hao BRACKETS alikua anaugua ugonjwa wa Canncer na hio ndio inasemekana kuwa sabau kubwa kwa kunyamaza ama kwenda chini kimziki lakini mara hii wamerudi ambapo wimbo huo BRACKETS  wamewashirikisha wasanii kama DIAMOND PLATNUMZ kutoka AFRIKA MASHARIKI pamoja na TIWA SAVAGE.

Wimbo huo ni shukurani kwa Mungu kwa kuwa mmoja wa wanamziki hao aliyekuwa anaugua ugonjwa huo hatari wa Cancer amerudi ki mziki na ni mzima kabisa hivo basi ni wimbo wa kutoa shukurani kwa Maulana.

Pata kutazama video hi yao iliyotengenezwa na GODFATHER kutoka Afrika Kusini.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..