Skip to main content

Posts

Showing posts from February 18, 2015

NEW VIDEO| MH TEMBA & CHEGE FEAT DJ MAPHOLISA-KAUNYAKA..| Watch it here..

Kaunyanka the awaited video is out Mh Temba and Chege feat Dj Mapholisa. Watch it here.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..

EXCLUSIVE AUDIO| DOWNLOAD COCO DANCE BY X-MATHARE...| Listen and Donload here..

Baada ya kuachia nyimbo wakiwa wamemshirikisha SUDI BOY na nyengine waliokuwa wamemshirikisha KIDIS, X-Mathare wamerudi tena katika maskio yako na round hii wamekuja wao kama kikundi na kuunda ngoma yao inayojulikana kama COCO DANCE. Ngoma hio wameitengeneza katika studio za THURNDER SOUND chini ya produza mkali anayejulikana kama MOBIZ,tukizungumza na mmoja wao kuhusu video alitwambia kuwa video ya nyimbo hio itakuwa inatayarishwa mwisho wa mwezi huu wa pili ambapo alisema kuwa video hio itakuwa ni kubwa maana wana uchungu na ile nyengine wakidai kuwa walitapeliwa pesa na YOUNG WALLACE katika nyimbo ya KUCHE KUCHELE walio mshrikisha msanii KIDIS. Pata kuskiza na ku download nyimbo hio hapa...