Skip to main content

EXCLUSIVE AUDIO| DOWNLOAD COCO DANCE BY X-MATHARE...| Listen and Donload here..

Baada ya kuachia nyimbo wakiwa wamemshirikisha SUDI BOY na nyengine waliokuwa wamemshirikisha KIDIS, X-Mathare wamerudi tena katika maskio yako na round hii wamekuja wao kama kikundi na kuunda ngoma yao inayojulikana kama COCO DANCE.

Ngoma hio wameitengeneza katika studio za THURNDER SOUND chini ya produza mkali anayejulikana kama MOBIZ,tukizungumza na mmoja wao kuhusu video alitwambia kuwa video ya nyimbo hio itakuwa inatayarishwa mwisho wa mwezi huu wa pili ambapo alisema kuwa video hio itakuwa ni kubwa maana wana uchungu na ile nyengine wakidai kuwa walitapeliwa pesa na YOUNG WALLACE katika nyimbo ya KUCHE KUCHELE walio mshrikisha msanii KIDIS.

Pata kuskiza na ku download nyimbo hio hapa...

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.