Skip to main content

Posts

Showing posts from July 20, 2016

NEW VIDEO ALERT| RAMESH MAUZO PREZIDAH-DANCE NA MIMI {KUCHUU}....ITAZAME HAPA

Baada ya kuuza sura sana katika video za wasanii naye pia amejitumbukiza katika kinyang'anyiro hicho.  Ramesh Mauzo aliweza kuingia studio za NUMBER ONE RECORDS na kumchukua produza mkali TK MBILI nakujenga kitu kikali na kumchukua MAC CHOKA ambaye ndiye Director kwenye video hii. Pata kuitazama video hio yake inayokwenda kwa jina DANCE NA MIMI { KUCHU U } ambapo video hio imebeba watoto flani ivi amaizing. Hii Hapa KUCHUU

EXCLUSIVE PHOTOS| VIDEO NA PICHA ZA TOTTI AKIWA ANAZINDUA VIDEO YAKE YA "KASAGA" NDANI TA TRIBEKA NIMEKUEKEA HAPA

Ni wiki ya pili saa hii imeingia tangu produza/Msanii kutinga ndani ya jiji kuu la Nairobi ili kuifanyia promo video yake mpya ya KASAGA. Hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa hapo jana na photography wetu ndani ya ukumbi wa club Tribeka Totti akiwa anafanya uzinduzi wa video yake mpya ya KASAGA. Hiki ndicho kipande cha video TOTTI akiwa anapewa shavu la nguvu na Mzazi Willy M Tuv a Pamoja na Fundi Frank. pamoja na hayo hii ndio video yake mpya ya KASAGA.