Skip to main content

EXCLUSIVE PHOTOS| VIDEO NA PICHA ZA TOTTI AKIWA ANAZINDUA VIDEO YAKE YA "KASAGA" NDANI TA TRIBEKA NIMEKUEKEA HAPA

Ni wiki ya pili saa hii imeingia tangu produza/Msanii kutinga ndani ya jiji kuu la Nairobi ili kuifanyia promo video yake mpya ya KASAGA.

Hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa hapo jana na photography wetu ndani ya ukumbi wa club Tribeka Totti akiwa anafanya uzinduzi wa video yake mpya ya KASAGA.





Hiki ndicho kipande cha video TOTTI akiwa anapewa shavu la nguvu na Mzazi Willy M Tuva Pamoja na Fundi Frank.


pamoja na hayo hii ndio video yake mpya ya KASAGA.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..