Skip to main content

Posts

Showing posts from July 5, 2016

EXCLUSIVE STORY| VIDEO MPYA YA BENSO NA KIGOTO IMEZUIWA KWANINI? HII HAPA SABABU PAMOJA AKIELEZEA NI KWA UNDANI ZAIDI

THEGREATMULLEYMEDIA ipo karibu na wewe kila siku ili kukuekea story zinazochipuka na zilizo na uhakika usisahau Subcribe YouTube Channel yetu kwa kubonyeza hapa  BONYEZA HAPA  upate video na Updates kila siku. Katika pitepite zetu tuliweza kukumbana na Story ambazo kwa ukweli zilitubidi tumtafute muhusika ambaye ani msanii ambae anakwenda kwa mtindo wa ku rap anayejulikana kama BENSO . BENSO ni msanii kutoka jiji la Mombasa ambaye aliweza kukuletea track kama vile IMEREMENDE , DANCE NA SHIRO pamoja na zengine nyingi tu,Hivi majuzi msanii huyu aliweza kuandaa video yake mpya inayokwenda kwa jina SHWARE ambayo alimshirikisha msanii mkali wa sauti anayjulikana kama KIGOTO na track hio iliandaliwa katika studio za NUMBER ONE RECORDS chini ya Hit maker TKMBILI ,fununu na habari zilisambaa kwamba video hio ya Benso akiwa na Kigoto imeweza kuzuiwa kwasababu ilinukuu picha ambazo haziendani na maadili ya jamii iliottuzunguka kwani iliweza kuwa na picha chafu chafu TGMM tuliwe