Skip to main content

Posts

Showing posts from June 24, 2016

LIZZJASOLJA AZUNGUMZIA DAZLAH KUTOKUJA KATIKA "#USIKU WA PAMOJA NA LIZZ" AMBAPO ILIKUA INAMUHUSU.

Usiku wajana Wasanii na washika dau wa mziki walikua wanakutana katika mkahawa wa VALENCIA ambapo ulikua ni #USIKUWAPAMOJANALIZZ kulikua na mchango wa kufariji mwanadada LIZZJASOLJA kwa kumpoteza mamake mzazi Wasanii tajika walikuepo wakiongozwa na GATES MGENGE wa Pilipilifm pamoja na ARCHY KAWERE ambaye ni ubavu wa JOHNY SKANI ,wasanii kama ALKENIALUV , P'DAY,RICHY REE,WYNAS,CASH HORMY pamoja na washikadau wote waliweza kukongamana katika mkahawa huo cha ajabu ni kwamba muhusika aliyekuwa anatarajiwa ambaye ni DAZLAH KIDUCHE hakuweza kuonekana na kulingana na LIZZ aliweza kusema kwamba kuhusu kutofika kwa Dazlah kulimvunja moyo sana lakini ilifika wakati akazoea maana aliweza kufarijiwa na wasanii wenzake wa Dazlah wa CHILEMONDE ambaye ni WYNAS pamoja na CASHHORMY ambao walikua bega kwa bega na shemegi yao huyo ambaye aliweza kupatwa na msiba. " Kiukweli imeniuma sana maana nilitarajia yeye ndio atakua mtu wakwanza kuwa karibu zaidi na mimi lakini n