Skip to main content

LIZZJASOLJA AZUNGUMZIA DAZLAH KUTOKUJA KATIKA "#USIKU WA PAMOJA NA LIZZ" AMBAPO ILIKUA INAMUHUSU.

Usiku wajana Wasanii na washika dau wa mziki walikua wanakutana katika mkahawa wa VALENCIA ambapo ulikua ni #USIKUWAPAMOJANALIZZ kulikua na mchango wa kufariji mwanadada LIZZJASOLJA kwa kumpoteza mamake mzazi

Wasanii tajika walikuepo wakiongozwa na GATES MGENGE wa Pilipilifm pamoja na ARCHY KAWERE ambaye ni ubavu wa JOHNY SKANI,wasanii kama ALKENIALUV,P'DAY,RICHY REE,WYNAS,CASH HORMY pamoja na washikadau wote waliweza kukongamana katika mkahawa huo cha ajabu ni kwamba muhusika aliyekuwa anatarajiwa ambaye ni DAZLAH KIDUCHE hakuweza kuonekana na kulingana na LIZZ aliweza kusema kwamba kuhusu kutofika kwa Dazlah kulimvunja moyo sana lakini ilifika wakati akazoea maana aliweza kufarijiwa na wasanii wenzake wa Dazlah wa CHILEMONDE ambaye ni WYNAS pamoja na CASHHORMY ambao walikua bega kwa bega na shemegi yao huyo ambaye aliweza kupatwa na msiba.


"Kiukweli imeniuma sana maana nilitarajia yeye ndio atakua mtu wakwanza kuwa karibu zaidi na mimi lakini nimekaa hapa mpaka saa hii nimepigia simu ameniambia ameachwa na dadake lakini mi ata saa hii niko sawa kwasababu amenieleza sababu zake za kutofika japo sio za msingi vile, lakini pia nawashukuru waliokuja kunifari kama Wynas na Cash Hormy ambao ni watu wakaribu na yeye pamoja na kila mtu aliyefika" Maneno ya Lizz Hayo.




Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.