Baada ya kungojea kwa kiasi cha muda video mpya ya SIS P inayotambulika kama BONGE LA BWANA iko nje tayari. Kulikangana na C.E.O wa AMILLION RECORDS produza KHALID aliweza kudokezea kwamba video hio imegharimu takriban nusu milioni. Pata kuitazam na Kui-Download hapa chini DOWNLOAD BONGE LA BWANA BY SIS P HAPA