Skip to main content

Posts

Showing posts from August 21, 2015

EXCLUSIVE H.D VIDEO| HASH B-BURUDANI Watch it here...

Hash B ni msanii pekee ambaye hawajawahi kuonekana katika video yeye hujulikanakana kwa sauti yake ya mvuto tu katika vituo vya radio na wala hapatikana katika runinga. Hii ndio video yake ya kwanza kudondoka na ndio yakwanza kumtambulisha hapa katika vioo vya Televisheni. Video yenyewe imeketiwa chini na mkaliwa LIL GUY G na Audio imetengenezwa katika studio za JUNGLE MASTERS chini ya produza EMMY DEE. Pata kuitzama video hio hapa...