Msanii kutoka hapa Kenya ambaye ni hit maker wa PHONTHO na IMEREMENDE anayekwenda kwa jina BENSO huenda akaachilia video yake inayojulikana kama "DANCE NA SHIRO" Hapo jana Benso aliweza kuachia tarehe rasmi ya kuachiuliwa kwa video yake 09.09.15 ambayo iliambatana na maneno haya " Katika safari yangu ya Mziki namshukuru Mwenyezi Mungu kila kuchao pahali amenitoa na pahali amenifikisha na ninakokwenda, Kwa wote wamekuwa wakini support from my Fans, my friends, radio presenters, TV presenters, all the Dj's nawatolea shukran na tuendelee kuchapa kazi kila wakati. Tarehe ya official release ya Dance Na Shiro inakaribia na tarehe ni 09.09.2015 In the meantime unaweza angaliaTeaser kwa You Tube as we await the OFFICIAL VIDEO 09.09.15 SHUKRANS IN ORDER KWA UP ENDO MUMEONYESHA TAYARI.... "BENSO FT ABEKAH - DANCE NA SHIRO TEASER" on YouTube - https://youtu.be/hQk0PXI20xE # BCMG # newvideo2015 # NewMusic " Alisema hayo kupitia ukurasa wake w...