Skip to main content

BENSO KUACHIA VIDEO YAKE YA "DANCE NA SHIRO" HAPO KESHON 09.09.15 PATA KUSOMA ALICHOKIANDIKA KUPITIA KURASA ZAKE ZA MITANDAO HAPA


Msanii kutoka hapa Kenya ambaye ni hit maker wa PHONTHO na IMEREMENDE anayekwenda kwa jina BENSO huenda akaachilia video yake inayojulikana kama "DANCE NA SHIRO"

Hapo jana Benso aliweza kuachia tarehe rasmi ya kuachiuliwa kwa video yake 09.09.15 ambayo iliambatana na maneno haya "Katika safari yangu ya Mziki namshukuru Mwenyezi Mungu kila kuchao pahali amenitoa na pahali amenifikisha na ninakokwenda,
Kwa wote wamekuwa wakini support from my Fans, my friends, radio presenters, TV presenters, all the Dj's nawatolea shukran na tuendelee kuchapa kazi kila wakati.
Tarehe ya official release ya Dance Na Shiro inakaribia na tarehe ni 09.09.2015
In the meantime unaweza angaliaTeaser kwa You Tube as we await the OFFICIAL VIDEO 09.09.15
SHUKRANS IN ORDER KWA UPENDO MUMEONYESHA TAYARI....
"BENSO FT ABEKAH - DANCE NA SHIRO TEASER" on YouTube -https://youtu.be/hQk0PXI20xE
‪#‎BCMG‬
‪#‎newvideo2015‬
‪#‎NewMusic‬"
Alisema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Audio tayari aliweza kuachia mapema wiki hii katika vituo vyote vya radio hapa nchi.
Pata kutizama Teaser ya video hio hapa "DANCE NA DHIRO"

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..