Skip to main content

Posts

Showing posts from April 1, 2015

EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE PHOTOS| KAMA HUKUHUDHURIA UANDAZI WA VIDEO MPYA YA MSANII AMOURY HIZI NDIZO PICHA ZA BEHIND THE SCENE...

Weekend iliopita msanii kutoka hapa Kenya anayejulikana kama ARTIST001 ama ukipenda AMOURY BEYBY alikua akiandaa video yake katika uwanja wa STADIUM MOMBASA . Kitu kimoja kilichowaacha watu midomo wazi ni kwamba msanii huyo aliweza kutumia gari za MOMBASA COUNTY katika video hio kitendo ambacho kila mtu alitoka na swali lake ambapo wangemuuliza msanii AMOURY tuna imani wangepata jibu sahihi. Hizi ndizo baadhi ya picha tulizozipata...

UKISKIA MAPENZI NI UPOFU BASI MAANA YAKE NDIO HII,TAZAMA PICHA ZA WAPENZI HAWA NA UONE MAAJABU YAO....

Anton Kraft, kutoka Denmark, amepata mpenzi China Bell kutoka Florida Akiwa kama mwanaume pekee duniani anayenyanyua vyuma vyenye uzito mara nne ya uzito wa mwili wake, Anton Kraft anaongoza kwa kuwa mtu mwenye nguvu duniani. Mbilikimo huyo mwenye urefu wa futi 4.4, anaishi Florida, ananyanyua nondo 36. Bell anasema alikunwa na uwezo wa Anton wa kunyanyua vitu vizito Na ni mtu mwenye malengo na wanawake. Kraft anasema ipo siku mapenzi yao yatakuwa si ya kawaida  Kraft, 52, anatembea na wanawake ambao ni warefu kumzidi. Kwa miezi sita sasa amekuwa na mahusian na China Bell mwenye urefu wa futi 6.3. Kraft anadi alishawahi kufa mara tano miaka 10 iliyopita Bell, 43, ambaye alizaliwa mwanaume na kujibadilisha, anakubali kuwa alikuwa na wasiwasi alipoombwa kwenda kutembea lakini alikunwa na ujuzi wa Anton wa kunyanyua vitu vizito. Kraft anasema anampenda sana Bell “Nafikiri uwezo wa Anton wa kunyanyua vitu vizito ni wa kuvuatia, kwa sababu anavutia – unaposhikilia taji