UKISKIA MAPENZI NI UPOFU BASI MAANA YAKE NDIO HII,TAZAMA PICHA ZA WAPENZI HAWA NA UONE MAAJABU YAO....
Anton Kraft, kutoka Denmark, amepata mpenzi China Bell kutoka Florida
Akiwa kama mwanaume pekee duniani anayenyanyua vyuma vyenye uzito mara nne ya uzito wa mwili wake, Anton Kraft anaongoza kwa kuwa mtu mwenye nguvu duniani.
Mbilikimo huyo mwenye urefu wa futi 4.4, anaishi Florida, ananyanyua nondo 36.
Bell anasema alikunwa na uwezo wa Anton wa kunyanyua vitu vizito
Na ni mtu mwenye malengo na wanawake.
Kraft anasema ipo siku mapenzi yao yatakuwa si ya kawaida Kraft, 52, anatembea na wanawake ambao ni warefu kumzidi. Kwa miezi sita sasa amekuwa na mahusian na China Bell mwenye urefu wa futi 6.3.
Kraft anadi alishawahi kufa mara tano miaka 10 iliyopita
Bell, 43, ambaye alizaliwa mwanaume na kujibadilisha, anakubali kuwa alikuwa na wasiwasi alipoombwa kwenda kutembea lakini alikunwa na ujuzi wa Anton wa kunyanyua vitu vizito.
Kraft anasema anampenda sana Bell
“Nafikiri uwezo wa Anton wa kunyanyua vitu vizito ni wa kuvuatia, kwa sababu anavutia – unaposhikilia taji la uzito wa juu duniani, hiyo ina maana kubwa,” alisema Bell.
“Nafikiri uwezo wa Anton wa kunyanyua vitu vizito ni wa kuvuatia, kwa sababu anavutia – unaposhikilia taji la uzito wa juu duniani, hiyo ina maana kubwa,” alisema Bell.
Comments
Post a Comment