Skip to main content

Posts

Showing posts from December 12, 2015

NEW MUSIC ALERT| DIAMOND PLATNUMZ-UTANIPENDA| LISTEN,WATCH AND DOWNLOAD HERE

Kichupa kipya kutoka kwa DIAMOND PLATNUMZ kinachokwenda kwa jina UTANIPENDA . Staa Diamond Platnumz amerudi tena katika kioo chako na mara hii hajakuletea burudani kama kawaida yake amekuletea swali ambalo anakuuliza wewe shabiki wake kama utaendelea kumpenda kama ikitokea leo afulie yaani Mali zake na kila kitu kimtoke ghafla? Download UTANIPENDA hapa... Tizama UTANIPENDA hapa...