Skip to main content

Posts

Showing posts from August 29, 2014

HII NDIO MELI ILIYO HARIBIWA BAHARINI BAADA YA KUSHUKIWA NA MIHADARATI..tizama hapa

Hii leo katika bahari Hindi Meli iliyokuwa imebeba madawa ya kulevya aina ya HEROIN yaliyo na dhamani ya Billion Moja "Sh1bn"imeharibiwa deep seea baada ya agizo hilo kutolewa na Rais Uhuru Kenyatta. Wakati huo huo Meli hio ikiharibiwa Rais alikuwa juu ya ndege akiitizama Meli hiyo ilivyo kuwa inateketea huku washukiwa waliokuwa wamebeba madawa hayo wakiwa bado wamezuiwa katika Port police Station Mombasa. Hii ndio picha ya Meli hio ikiwa inateketezwa. Pic By Elakana Jacob.

EXCLUSIVE; TAZAMA VIDEO MPYA YA MSANII WAKIKE AKOTHEE INAYOJULIKANA KAMA KATIKA..Itizame hapa>

Baada ya kuachia ngoma yake kwa jina PASHE iliofanya vizuri katika media msanii wakike kutoka hapa Kenya kwa jina AKOTHEE ameachialia video yake nyengine inayojulikana kama KATIKA aliofanya na SAINT-P video ikiwa imeketiwa chini na HAMZA OMAR ( ONE POINT MONTAGE) Pata kuitazama video hio hapa! 

EXCLUSIVE: TAZAMA VIDEO MPYA YA KENRAZY "MBILIKIMO MKORA"...Itazame hapa...

Baada ya kimya cha muda mrefu msanii  wa mziki aina ya GHIPUKA amevunja ukimya ambapo ameachilia video yake mpya kwa jina " MBILIKIMO MKORA " chini ya GRANDAPA RECORDS.. Tazama video hio hapa..