
Baada ya kuachia ngoma yake kwa jina PASHE iliofanya vizuri katika media msanii wakike kutoka hapa Kenya kwa jina AKOTHEE ameachialia video yake nyengine inayojulikana kama KATIKA aliofanya na SAINT-P video ikiwa imeketiwa chini na HAMZA OMAR (ONE POINT MONTAGE)
Pata kuitazama video hio hapa!
Comments
Post a Comment