Skip to main content

Posts

Showing posts from July 21, 2015

EXCLUSIVE NEW VIDEO| NUMBER1 ACADEMIA-NIKO NAWE.....| Watch it here...

NUMBER ONE ACADEMIA ni kikundi cha vijana wanne kutoka studio za  NUMBER ONE RECORDS ambapo wameweza kuunganishwa na produza wa studio hizo ambaye ni TK2. Kundi hilo limejumulishwa na MASAUTI,KIGOTO,SUDI MOHAMMED akiwemo TIZZOH na hii ndio nyimbo yao yuakwanza inayojulikana kama NIKO NAWE ambapo video imeweza kutengenezwa na mtayarishi kutoka Nairobi anayejulikana kama X-ANTONIO. Swali ni je inawezekana kuwa hawa vijana ndio wanataka kushinda na kundi la YAMOTO BAND kutoka nchini Tanzania maana kama ni kuimba vijana hawa wako sawa na kama ni video pia inamahadhi yale yale ya kundi la YAMOTO BAND. Pata kutazama video hio hapa... CLICK HERE TO WATCH NIKO NAWE