Skip to main content

EXCLUSIVE NEW VIDEO| NUMBER1 ACADEMIA-NIKO NAWE.....| Watch it here...


NUMBER ONE ACADEMIA ni kikundi cha vijana wanne kutoka studio za  NUMBER ONE RECORDS ambapo wameweza kuunganishwa na produza wa studio hizo ambaye ni TK2.

Kundi hilo limejumulishwa na MASAUTI,KIGOTO,SUDI MOHAMMED akiwemo TIZZOH na hii ndio nyimbo yao yuakwanza inayojulikana kama NIKO NAWE ambapo video imeweza kutengenezwa na mtayarishi kutoka Nairobi anayejulikana kama X-ANTONIO.

Swali ni je inawezekana kuwa hawa vijana ndio wanataka kushinda na kundi la YAMOTO BAND kutoka nchini Tanzania maana kama ni kuimba vijana hawa wako sawa na kama ni video pia inamahadhi yale yale ya kundi la YAMOTO BAND.


Pata kutazama video hio hapa...

CLICK HERE TO WATCH NIKO NAWE


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..