Skip to main content

Posts

Showing posts from March 23, 2016

HAYA NDIO MATAMSHI ALIYOYATAMKA DOGO JANJA BAADA YA KUONA MANENO YA INSTAGRAM YA YOUNG DEE KUHU TALE NA CHIDI BENZ

Headlines za mkali wa Hip Hop, Chid Benz bado hazikwisha kwenye mitandao ambapo leo March 22, 2016   Dogo Janja alipost kile ambacho hakupendezwa baada ya kuona maneo ya instagram ya Young Dee  kuhusu Babu Tale na  Chid Benz.   Baada ya video kusambaza na kuanza kuchukua headlines ikiashiria Babu Tale amejitosa kumsaidia rapper huyo Young Dee aliandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema…‘ ‘ C h allenge kwako blaza hii ni aibu sidhani Kama kuna die hard fan wa ukweli wa chidi Kama ataipenda hii Au ata Kama ni kweli una mpango wa kumsaidia kama manager bora Afrika..! Nimeiona hii nmeshtuka tale! Babu Tale  umeniangusha Kwa hili.. Starting to heal but kill the best rapper mbele ya macho ya watanzania’  – Young Dee   Maneno hayo yalionekana kumkwaza Dogo Janja ambaye naye kupitia ukurasa wake wa instagram naye alipost kile alichokiandika Young Dee na kusema…’ Young Mpengaji… Mtazidi Kupenga Kisa Stress Mpaka Totoro..Nawanyima Chakula Mwaka huu Mule Magodor