Skip to main content

HAYA NDIO MATAMSHI ALIYOYATAMKA DOGO JANJA BAADA YA KUONA MANENO YA INSTAGRAM YA YOUNG DEE KUHU TALE NA CHIDI BENZ


Headlines za mkali wa Hip Hop, Chid Benz bado hazikwisha kwenye mitandao ambapo leo March 22, 2016  Dogo Janja alipost kile ambacho hakupendezwa baada ya kuona maneo ya instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz.

 Baada ya video kusambaza na kuanza kuchukua headlines ikiashiria Babu Tale amejitosa kumsaidia rapper huyo Young Dee aliandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema…‘Challenge kwako blaza hii ni aibu sidhani Kama kuna die hard fan wa ukweli wa chidi Kama ataipenda hii Au ata Kama ni kweli una mpango wa kumsaidia kama manager bora Afrika..! Nimeiona hii nmeshtuka tale! Babu Tale umeniangusha Kwa hili.. Starting to heal but kill the best rapper mbele ya macho ya watanzania’ – Young Dee

 Maneno hayo yalionekana kumkwaza Dogo Janja ambaye naye kupitia ukurasa wake wa instagram naye alipost kile alichokiandika Young Dee na kusema…’Young Mpengaji… Mtazidi Kupenga Kisa Stress Mpaka Totoro..Nawanyima Chakula Mwaka huu Mule Magodoro! Ukiona Mwenzako Ananyolewa Na Wewe Tia Maji’ – Dogo Janja


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..