Skip to main content

Posts

Showing posts from May 30, 2015

EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE PHOTOS; HIZI NI BAADHI YA PICHA TULIZOZIPATA ZA TOTTI AKIWA ANAANDA VIDEO YAKE.....Tizama picha hizo hapa.

Hizi ni baadhi ya picha za nyuma za nyuma ya pazia za uandaaji wa video mpya TOTTI. Tukiangalia kuwa ni kitambo tangu kuachiavideo ambapo aliweza kutoka na video yake ilio julikana kama HAWAKUFAI iliyofanya vizuri katika vituo mbalimbali vya hapa nchini pamoja na nje ya nchi round hii TOTTI amerudi tene na ujio wake mpya ulnaojulikana kama WANGU. Tukiongea nae aliweza kutufungukia kwamba video hio atakuwa anaweza kuiachia wiki ijayo ambapo atakua anaiachia katika media zote hapa Kenya na EAST AFRICA . Kumbuka pia TOTTI ni mmoja wa ma produza wa muziki wanaofanya vizuri na ametoa baadhi ya wasanii kama vile AKOTHEE, ALLY B pamoja  na NYOTA NDOGO. Hizi ni baadhi ya picha za video hio mpya...

EXCLUSIVE VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ FEAT MR.FLAVOUR-NANA.......Watch it here

This a new video by DIAMOND PLATNUMZ featuring MR.FLAVOUR named NANA,video produced by GODFATHER from SOUTH AFRICA and the Audio was produced by NAHEEL. Watch it here...