Skip to main content

EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE PHOTOS; HIZI NI BAADHI YA PICHA TULIZOZIPATA ZA TOTTI AKIWA ANAANDA VIDEO YAKE.....Tizama picha hizo hapa.

Hizi ni baadhi ya picha za nyuma za nyuma ya pazia za uandaaji wa video mpya TOTTI.

Tukiangalia kuwa ni kitambo tangu kuachiavideo ambapo aliweza kutoka na video yake ilio julikana kama HAWAKUFAI iliyofanya vizuri katika vituo mbalimbali vya hapa nchini pamoja na nje ya nchi round hii TOTTI amerudi tene na ujio wake mpya ulnaojulikana kama WANGU.

Tukiongea nae aliweza kutufungukia kwamba video hio atakuwa anaweza kuiachia wiki ijayo ambapo atakua anaiachia katika media zote hapa Kenya na EAST AFRICA .

Kumbuka pia TOTTI ni mmoja wa ma produza wa muziki wanaofanya vizuri na ametoa baadhi ya wasanii kama vile AKOTHEE,ALLY B pamoja  na NYOTA NDOGO.

Hizi ni baadhi ya picha za video hio mpya...



Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..