Skip to main content

Posts

Showing posts from July 11, 2016

NEW VIDEO ALERT| MABIBI NA MABWANA VIDEO YA TOTTI "KASAGA" ISHADONDOKA PATA KUITAZAMA HAPA..

Ni tkriban miezi mitatu tangu Totti kuachia nyimbo yake mpya iliojulikana kama KASAGA nyimbo iliozua tashwishi sana kwamba na watu kusema kwamba nyimbo hio ilikua ya BROWN MAUZO TOTTI aliweza kutia pamba masikio na kwasasa ameachia video yake, Pata kuitizama hapa chini upate kuchekeshwa na KASAGA.