Skip to main content

Posts

Showing posts from October 30, 2014

SIS P AND NICK MUMBA AND MAFIKIZOLO NANI ALIYE MUIGA MWEZAKE KATIKA VIDEO HII NA NGOMA..pata kujua ukweli hapa...

Siku chache baada ya video ya Nick Mumba na Sis P kutoka ambapo video hio ni moja wapo ya video zinazofanya vizuri katika anga za Afrika Mashariki, mashabiki wamekuwa wakiulizana mbona ngoma hio inafanana na ile ya MAFIKIZO KHONA . Hii leo tueke wazi na tutoe taka watu maskio huu mtindo wa chakacha ulianza katika tamaduni za kipwani ambapo mwanzilishi wa mtindo huo alikuwa na msanii ALLY B wa ZIKI LA NZI lakini wapwani walipoonnekana hawafuatili mtindo huo Afrika Kusini wakajivaa mzima mzima wakiongozwa na Nigeria. Baada ya MAFIKIZOLO kutoa ngoma yao na video yao inayotambulika kama "KHONA" wasanii kutoka anga za Mombasa/Kenya waliamua kutoa yao pia inayojulikana kama "MSUPA" ambapo ni SIS P akiwa na NICK MUMBA, kiukweli video yao imesimama inamuonekano mzuri director alifanya video hio akiwa amemakinika kama yule aliyeifanya " KHONA " ya wasanii kutoka Afrika Kusini MAFIKIZOLO. Tizama video hizo mbili apa uone kama kuna utaofauti....