Skip to main content

SIS P AND NICK MUMBA AND MAFIKIZOLO NANI ALIYE MUIGA MWEZAKE KATIKA VIDEO HII NA NGOMA..pata kujua ukweli hapa...








Siku chache baada ya video ya Nick Mumba na Sis P kutoka ambapo video hio ni moja wapo ya video zinazofanya vizuri katika anga za Afrika Mashariki, mashabiki wamekuwa wakiulizana mbona ngoma hio inafanana na ile ya MAFIKIZO KHONA.

Hii leo tueke wazi na tutoe taka watu maskio huu mtindo wa chakacha ulianza katika tamaduni za kipwani ambapo mwanzilishi wa mtindo huo alikuwa na msanii ALLY B wa ZIKI LA NZI lakini wapwani walipoonnekana hawafuatili mtindo huo Afrika Kusini wakajivaa mzima mzima wakiongozwa na Nigeria.




Baada ya MAFIKIZOLO kutoa ngoma yao na video yao inayotambulika kama "KHONA" wasanii kutoka anga za Mombasa/Kenya waliamua kutoa yao pia inayojulikana kama "MSUPA" ambapo ni SIS P akiwa na NICK MUMBA, kiukweli video yao imesimama inamuonekano mzuri director alifanya video hio akiwa amemakinika kama yule aliyeifanya "KHONA" ya wasanii kutoka Afrika Kusini MAFIKIZOLO.

Tizama video hizo mbili apa uone kama kuna utaofauti.... "KHONA" and "MSUPA"

SIS P AND NICK MUMBA "MSUPA" MAFIKIZOLO "KHONA"

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..