Skip to main content

Posts

Showing posts from March 10, 2015

EXCLUSIVE AUDIO| LISTEN AND DOWNLOAD KIGOTO-NAPENDA VIZURI....Get it here

Baada a kuangusha video ya AIRE msanii anayekuja kwa kasi KIGOTO ameangusha nyimbo nyengine inayojulikana kama NAPENDA VIZURI. Nyimbo hio imetoka katika studio za NUMBER ONE RECORDS chini ya produza mkali anayejulikana kama TK MBILI. Pata ku download na kuskiza nyimbo hio hapa...