Skip to main content

Posts

Showing posts from November 26, 2018

EXCLUSIVE::: JE SHIRKO AMEACHANA NA MAMBO YA BONGO FLEVA NA KUJIUNGA NA QASWIDA?? JIBU HILI APA...

Ni takriban miezi miwili imepita tangu produza mahiri mzaliwa wa Mombasa/Kenya kuhama kutoka Tanzania na kurudi kwao Mombasa. ambapo nchini Tanzania aliweza kukaa kipindi cha muda mrefu hadi ikasemekana hatorudi Kenya tena na ameweza kupata uraia nchini Tanzania. Ghafla mwezi wa tisa fununu zilisemekana kwamba Shirko anawezekana kurudi Mombasa na kuanzisha studio yake nyengine na kuachana na ile ya Tanzania ambayo ilikua inajulikana kama VIBE RECORDS ambapo msanii mkubwa Aslay alikua anaitegemea sana studio hio kutoa hits zake, mpaka muda huu hatujaweza kupata kujua kilichomtoa Shirko Tanzania na kurudi Mombasa ni ini bado hatujajua chanzo na kusudi ni nini je,aliweza kupata mapesa mengi na kuamua kuja kufungua Studio yake Kenya inayojulikana kama SHIRKOMEDIA ? Bado jibu mwafaka hatujalipata. Hivi karibuni Shirko ameonekana kutokea katika video moja ya Qaswida inayojulikana kama UBAYA ambapo ndani kuna SHIRKO mwenyewe SAAD FARAJ AHMED ambaye inasemekana alikua ni MCA wa w