Skip to main content

EXCLUSIVE::: JE SHIRKO AMEACHANA NA MAMBO YA BONGO FLEVA NA KUJIUNGA NA QASWIDA?? JIBU HILI APA...

Ni takriban miezi miwili imepita tangu produza mahiri mzaliwa wa Mombasa/Kenya kuhama kutoka Tanzania na kurudi kwao Mombasa. ambapo nchini Tanzania aliweza kukaa kipindi cha muda mrefu hadi ikasemekana hatorudi Kenya tena na ameweza kupata uraia nchini Tanzania.
Ghafla mwezi wa tisa fununu zilisemekana kwamba Shirko anawezekana kurudi Mombasa na kuanzisha studio yake nyengine na kuachana na ile ya Tanzania ambayo ilikua inajulikana kama VIBE RECORDS ambapo msanii mkubwa Aslay alikua anaitegemea sana studio hio kutoa hits zake, mpaka muda huu hatujaweza kupata kujua kilichomtoa Shirko Tanzania na kurudi Mombasa ni ini bado hatujajua chanzo na kusudi ni nini je,aliweza kupata mapesa mengi na kuamua kuja kufungua Studio yake Kenya inayojulikana kama SHIRKOMEDIA? Bado jibu mwafaka hatujalipata.

Hivi karibuni Shirko ameonekana kutokea katika video moja ya Qaswida inayojulikana kama UBAYA ambapo ndani kuna SHIRKO mwenyewe SAAD FARAJ AHMED ambaye inasemekana alikua ni MCA wa wodi ya Bondeni mjini Mombasa yaani Saad ni Muheshimiwa licha yakuwa pia ni muimbaji wa Qaswida pamoja na Qari Ibnu Mas'oud .

Hii hapa ndio video na nyimbo nzima kutoka SHIRKOMEDIA ENT inayojulikana kama UBAYA ambapo kichupa hicho kimeweza kuongozwa na director kutoka Mombasa anayefahamika kama MAC CHOKA UBAYA-SAAD FARAJ FEAT QARI IBNU MAS'OUD X SHIRKO

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..