Skip to main content

Posts

Showing posts from October 7, 2014

BEST AFRICA ENTERTAINER:DIAMOND AMWANGUSHA DAVIDO na WILLY PAUL KWENYE TUZO ZA IRIWMA MAREKANI...soma hapa..

Diamond Platnumz amewabwaga wasanii Davido,Willy Paul Msafi,Awilo Longomba na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda katika kitenengo cha Mtumbuizaji bora wa Africa "BEST AFRICAN ENTERTAINER kwenye tuzo za IRAWMA  (INTERNATIONAL REGGAE  and  WORLD MUSIC ).    " It always seems impossible until it's Done!...ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba  #MdogoMdodo  ndio nyimbo bora yenye Mahadhi ya Kiafrika na Kijana wenu Diamond ndio M'burudishaji bora wa Mwaka kwenye tunzo hizi za #IRAWMA  zilizofanyika Nchini Marekani 04|10|2014..... Asanteni sana sana...hakika Umoja ni nguvu, tuhamieni kwenye nyingine sasa!.. ." Aliandika hayo kwenye mtandao wake wa Instagram mapema hii leo.

KAMA HUJAPATA KUITAZAMA VIDEO YA BENSO AKIWA NA MISS GG "I DO" ITAZAME HAPA...

Benso na MISS GG ni waanii kutoka MOMBASA/KENYA ambapo wameshirikiana katika nyimbo mbili tofauti moja ni I DO na nyengine inajulikana kama PHONTHO . Mwanadada huyo pia anaimba na bendi maeneo ya MOMBASA. pata kuitzama video hio I DO hapa...

EXCLUSIVE: TIZAMA VIDEO MPYA YA SUSUMILA NA CHIKUZEE "HIDAYA" NISHEEEDAH!!!!!....Pata kuitzama hapa

Baada ya NGOMA ITAMBAE SUSUMILA na CHIKUZEE warudi tena kwenye kioo chako na kitu kipya kwa jina HIDAYA . Ndani ya video hio msanii ALLY B pia ameshiriki ambapo ni video iliyo tengenezwa na RICK BECKO director pata kuitizama hapa chini. pata kuitizama hapa..