BEST AFRICA ENTERTAINER:DIAMOND AMWANGUSHA DAVIDO na WILLY PAUL KWENYE TUZO ZA IRIWMA MAREKANI...soma hapa..
Diamond Platnumz amewabwaga wasanii Davido,Willy Paul Msafi,Awilo Longomba na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda katika kitenengo cha Mtumbuizaji bora wa Africa "BEST AFRICAN ENTERTAINER kwenye tuzo za IRAWMA (INTERNATIONAL REGGAE and WORLD MUSIC).

"It always seems impossible until it's Done!...ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye Mahadhi ya Kiafrika na Kijana wenu Diamond ndio M'burudishaji bora wa Mwaka kwenye tunzo hizi za#IRAWMA zilizofanyika Nchini Marekani 04|10|2014..... Asanteni sana sana...hakika Umoja ni nguvu, tuhamieni kwenye nyingine sasa!..." Aliandika hayo kwenye mtandao wake wa Instagram mapema hii leo.

Comments
Post a Comment