Skip to main content

Posts

Showing posts from March 11, 2015

HII NISHEEEDAH!! UTAMADUNI WA INDONESIA AMBAPO MAITI WANAFUKULIWA NA KUBADILISHWA NGUO KILA MWAKA...Soma zaidi

Nchini Indonesia katika kijiji kimoja Maiti hufufuliwa kila mwaka na kubadilishwa nguo,zoezi hili hufanyika kila mwaka baada ya maiti kuzikwa na inasemekana kuwa wanafamilia ndio hufanya kazi hio ya kufufu maiti hao mara nyengine mtu anapofarika huwa wanamzika katika sehemu aliyo zaliwa na sio aliyokufia. Kila baada ya mwaka humfufua na kumbadilisha mavazi ambapo hio ni sheria ambayo iko katika moja ya mila za kwao, Sasa kama wewe huwezi songelea maiti basi kwa wenzako wanazifufua na kuzibadilisha nguo kwa kila mwaka.

PROMOTA WA MUZIKI NA BABA WA WASANII KUTOKA HAPA MKOANI AZUILIWA NA POLISI KATIKA BODA YA KENYA NA TANZANIA...Soma zaidi hapa

Wengi wanamjua kama promoto wa mziki na wachache wanamjua kama mwanabiashara SAIDI GANGWE MICHARAZO wiki iliyopita aliwea kuzuiliwa katika Boda ya Kenya na Tz ambapo alikua anaingia katika nchi jirani ya Tz kuendeleza biashara yake. Tukiongea naye Gangwe aliweza kukashifu kitendo hicho cha yeye kuzuiliwa na polisi wa nchi jirani ambapo aliweza kushushwa katika gari yak e aliokua nakuvuliwa kila ikiwemo mshipi wa suruale,Kofia pamoja na viatu na kuekwa korokoroni kwa mda wa masaa kumi na mbili huku akiambiwa alipe 500USD ambapo ni takriban ya elfu hamsini pesa za Kenya chanzo kinasemekana kuwa Gangwe hakuwa na na kitabu cha sindalo ya kujizuilia magonjwa tofauti katika nchi hio. Tulipomuuliza alidai kuwa yeye kitabu hicho alikuwa amesahau alipokiweka lakni alikua nacho "kitabu hicho mimi nilikua nacho lakini hawakutaka kuniskiza kabisa na kunibeba kama mtoto mdogo ambapo tukiangalia watu wao humu nchi kwetu wamejaa tu na hawana hata vitambulisho hii ni haki kweli ?&q

EXCLUSIVE VIDEO| BENSO-IMEREMENDE| Watch it here..

After a period of quiet he has now break his quietness, BENSO the hit maker of PHONTHO has now release his new song and video known AS IMEREMENDE ( Peremende/Sweet ). This audio was recorded in STANTMASTAS RECORDS under producer PETROOZ and the video was directed by PETERZ under VICTORIA ENTERTAINMENT. Wa tch the IMEREMENDE Quality video here ...