Skip to main content

PROMOTA WA MUZIKI NA BABA WA WASANII KUTOKA HAPA MKOANI AZUILIWA NA POLISI KATIKA BODA YA KENYA NA TANZANIA...Soma zaidi hapa

Wengi wanamjua kama promoto wa mziki na wachache wanamjua kama mwanabiashara SAIDI GANGWE MICHARAZO wiki iliyopita aliwea kuzuiliwa katika Boda ya Kenya na Tz ambapo alikua anaingia katika nchi jirani ya Tz kuendeleza biashara yake.

Tukiongea naye Gangwe aliweza kukashifu kitendo hicho cha yeye kuzuiliwa na polisi wa nchi jirani ambapo aliweza kushushwa katika gari yake aliokua nakuvuliwa kila ikiwemo mshipi wa suruale,Kofia pamoja na viatu na kuekwa korokoroni kwa mda wa masaa kumi na mbili huku akiambiwa alipe 500USD ambapo ni takriban ya elfu hamsini pesa za Kenya chanzo kinasemekana kuwa Gangwe hakuwa na na kitabu cha sindalo ya kujizuilia magonjwa tofauti katika nchi hio.

Tulipomuuliza alidai kuwa yeye kitabu hicho alikuwa amesahau alipokiweka lakni alikua nacho "kitabu hicho mimi nilikua nacho lakini hawakutaka kuniskiza kabisa na kunibeba kama mtoto mdogo ambapo tukiangalia watu wao humu nchi kwetu wamejaa tu na hawana hata vitambulisho hii ni haki kweli ?" Aliongea kwa uchungu
Kumbuka Gangwe Mzazi ndiye aliyekuwa Promota wa wasanii kama RudeBoys pamoja na C-New.

Hizo ndizo baadhi ya picha tulizozipata akiwa katika safari hio na kwasa Gangwe mzazi yuko salama na imetuambia kuwa biashara iliompeleka ameishaimaliza anatarajiwa kurudi Kenya hapo kesho.

 

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..